Baada ya kufungua akaunti, unatakiwa kuingia kwenye mfumo kwa kutumia jina lako la mwisho kama nenosiri (password) pamoja na barua pepe yako.
Mara baada ya kuingia, utaweza kuanza mchakato wa kuomba huduma mbalimbali kupitia mfumo huu kwa urahisi na haraka.